// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC YAICHAPA MASHUJAA 3-2 LIGI KUU UWANJA WA UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC YAICHAPA MASHUJAA 3-2 LIGI KUU UWANJA WA UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 02, 2023

    KMC YAICHAPA MASHUJAA 3-2 LIGI KUU UWANJA WA UHURU


    TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
    Mabao ya KMC yamefungwa Awesu Awesu dakika ya pili, Waziri Junior dakika ya 10 na Daruwesh Saliboko dakika ya 71, wakati ya Mashujaa yamefungwa na Abdulnasir Issa dakika ya 15 na Adam Adam dakika ya 20.
    Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 19 katika mchezo wa 11 na kusogea nafasi ya nne, wakati Mashujaa inabaki na pointi zake nane za mechi tisa nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC YAICHAPA MASHUJAA 3-2 LIGI KUU UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top