• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  YANGA SC MAZOEZINI BOKO VETERANI LEO

  Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini jioni ya leo Uwanja wa Boko Veterani, kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe dhidi ya mahasimu wao Simba SC, Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  Kocha Mbrazil, Marcio Maximo akiwapa mawaidha wachezaji wake 

  Wachezaji wa Yanga SC wakitafuta pumzi zaidi na kasi

  Kiungo Mbrazil, Emerson de Oliviera Roque akiruka vihunzi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC MAZOEZINI BOKO VETERANI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top