• HABARI MPYA

  Friday, December 26, 2014

  RAHEEM STERLING AING'ARISHA LIVERPOOL

  Sterling rounded goalkeeper Tom Heaton before slotting into the back of the net in the 62nd minute at Turf Moor
  BAO pekee la Raheem Sterling limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Burnley Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.
  Mshambuliaji hiyo kinda wa miaka 20 wa kimataifa wa England, alifunga bao zuri baada ya kumzunguka kipa Tom Heaton (pichani juu) kabla ya kuusukumia mpira nyavuni.
  Huo ni ushindi wa kwanza kwa Liverpool katika Ligi Kuu ya England msimu huu tangu walipoifunga 3-1 Leicester City Desemba 6, mwaka huu. 
  The goal on the hour mark was Sterling's third in his last three appearances while playing as a striker
  Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee la ushindi leo

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2887469/Burnley-0-1-Liverpool-Raheem-Sterling-scores-second-half-winner-Brendan-Rodgers-Reds-climb-Premier-League-table.html#ixzz3N1fwDbo0 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAHEEM STERLING AING'ARISHA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top