• HABARI MPYA

  Monday, December 22, 2014

  YANGA SC KUANZA NA TIMU YA JESHI BOTSWANA KOMBE LA SHIRIKISHO

  YANGA SC ya Tanzania, itamenyana na vibonde kutoka Botswana, BDF IX ambayo ni timu ya jeshi la nchi hiyo katika hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani. 
  Kwa mujibu wa ratiba ya Raundi ya Awali iliyopangwa leo mjini Cairo, mechi za kwanza zitachezwa kati ya Februari 13 na 15 wakati marudiano yatakuwa Februari 27 na Machi 1 na Yanga SC wataanzia nyumbani.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KUANZA NA TIMU YA JESHI BOTSWANA KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top