• HABARI MPYA

  Thursday, December 25, 2014

  WACHEZAJI AZAM FC WALIVYOFURAHIA KRISIMASI YAO LEO 'BAKHRESA BEACH''

  Mshambuliaji Mrundi wa Azam FC, Didier Kavumbangu akipata chakula cha mchana katika eneo maalum la mapumziko la wamiliki wa klabu hiyo, kampuni ya Said Salim Bakhresa Limited, liliopo eneo la ufukwe wa Kigamboni jirani na Ng'onda na Chadibwa Beach, Dar es Salaam leo.
  Kocha Msaidizi, Mganda George 'Best' Nsimbe kushoto akiwa na Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba katika hafla hiyo ya sikukuu ya Krisimasi
  Beki Serge Wawa Pascla kutoka Ivory Coast akijipakulia chakula
  Winga Mganda, Brian Majwega kulia na kiungo mzalendo Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto
  Kutoka kulia Shomary Kapombe, Gardiel Michael wote mabeki wa pembeni na kipa Aishi Manula
  Frank Domayo kulia akiwa na Joseph Kimwaga
  Mshambuliaji John Bocco 'Adebayor' akipakua chakula
  Mshambuliaji Kipre Tchetche akiondoka kwenye meza baada ya kujipimia kiasi chake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI AZAM FC WALIVYOFURAHIA KRISIMASI YAO LEO 'BAKHRESA BEACH'' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top