• HABARI MPYA

  Wednesday, December 24, 2014

  VAN GAAL: USAJILI WA GARETH BALE SI NI SIRI YA KLABU

  KOCHA wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kwamba suala la kumsajili Gareth Bale kutoka Real Madrid ni si ya klabu.
  Taarifa nchini Hispania jana zilisema kwamba, Van Gaal yuko tayari kuvunja rekodi ya dunia la dau la usajili kwa kutoa Pauni Milioni 120 kuwapa Real Madrid wamuachie nyota wa Wales arejee Ligi Kuu ya England.
  Lakini alipoulizwa na Waandishi wa Habari jana, akageuka mbogo; "Siwezi kujadili hilo na wewe,"alisema Van Gaal . "Nitajadili hilo na Mtendaji wangu Mkuu na si wewe au chombo chochote cha habari,". 
  Louis van Gaal was in jovial mood during his press conference at Man United's training ground on Tuesday
  Louis van Gaal akizungumza na waandishi wa Habari jana viwanja vya mazoezi vya Man United
  Gareth Bale has enjoyed a successful year with Real Madrid, pictured with the FIFA Club World Cup this week
  Gareth Bale amekuwa na mafanikio Real Madrid, kama anavyoonekana pichani akifurahia Kombe la Dunia la klabu walilotwaa wiki hii
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VAN GAAL: USAJILI WA GARETH BALE SI NI SIRI YA KLABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top