TIMU ya Mexico imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ecuador Asubuhi hii Uwanja wa Azteca Jijini Mexico City nchini Mexico.
Mabao ya Mexico yamefungwa na winga wa Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, mzaliwa wa Colombia Julián Andrés Quiñones Quiñones dakika ya 22 na mshambuliaji wa Wolverhampton Wanderers ya England, Raúl Alonso Jiménez Rodríguez dakika ya 31.



.png)
0 comments:
Post a Comment