• HABARI MPYA

  Sunday, December 28, 2014

  SIJUI JAMAA ALIRUDI VIPI NYUMBANI NA KITAMBI CHAKE!

  Shabiki wa Yanga SC (kushoto) akichaniwa jezi yake baada ya kupita katika jukwaa la mashabiki wa Azam FC leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliomalizika kwa sare ya 2-2.
  Jamaa akifurahia kuchana jezi ya shabiki wa Yanga

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIJUI JAMAA ALIRUDI VIPI NYUMBANI NA KITAMBI CHAKE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top