• HABARI MPYA

  Sunday, December 21, 2014

  HESHIMA ZAIDI KWA CRISTIANO RONALDO

  SANAMU la nguvu limetengenezwa kwa heshima ya nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.
  Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ureno alisafiri hadi kisiwa cha Madeira, nchini kwao, Ureno ambako alipozi kupiga picha na sanamu hilo pamoja na familia yake.
  Na ni vigumu kuukataa ukweli kwamba Ronaldo ndiye mtu mkubwa zaidi katika kisiwa hicho. Tayari kuna Makumbusho ya 'CR7' mjini Funchal, mji ambao alizaliwa Mwanasoka huyo Bora wa Dunia.
  Cristiano Ronaldo (centre) poses for pictures in front of the recently-erected statue of himself in Madeira
  Cristiano Ronaldo (katikati) akiwa amepozi mbele ya sanamu lake mjini Madeira
  Ronaldo (left) poses with his son in front of the statue
  The Madrid man winks at the camera
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HESHIMA ZAIDI KWA CRISTIANO RONALDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top