• HABARI MPYA

  Wednesday, December 24, 2014

  OKWI ALIVYOMEREMETA NA KIMWANA ROSE KAMPALA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kushoto) akifurahia na mkewe, Rose Lugenge baada ya kufunga pingu za maisha mwishoni mwa wiki Kampala, Uganda.
  Mwanasoka wa kimataifa wa Uganda alikuwa mwenye furaha mwishoni mwa wiki baada ya kubeba jiko

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OKWI ALIVYOMEREMETA NA KIMWANA ROSE KAMPALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top