• HABARI MPYA

  Sunday, December 21, 2014

  BABU PLUIJM ALIVYOANZA KAZI JANA YANGA SC

  Kocha Hans van der Pluijm akimpa maelekezo mshambuliaji Mliberia wa Yanga SC, Kpah Sherman wakati wa mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam. Pluijm ameanza rasmi kazi jana baada ya kurejeshwa kuchukua nafasi ya Mbrazil, Marcio Maximo aliyefukuzwa mwanzoni mwa wiki.
  Hapa Mholanzi huyo anazungumza na kiungo Mbrazil, Andrey Coutinho
  Hapa anazungumza na kocha Msaidizi, Salvatory Edward

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BABU PLUIJM ALIVYOANZA KAZI JANA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top