• HABARI MPYA

  Wednesday, December 31, 2014

  MAMBO YA MBEYA CITY NA RB BATTERY KIULAYA ULAYA

  Mtoto wa Mkurugenzi wa kampuni ya Bin Slum Tyres Limited, Nassor Bin Slum aitwaye Abdulwahab akifurahia na sweta na kofia ya timu ya Mbeya City ya Mbeya. Wadhamini wa Mbeya City, kampuni ya Bin Slum kupitia beteri za RB wametoa jezi na vifaa mbaimbali kwa ajili ya mashabiki wa timu hiyo
  Maofisa wa kampuni ya Bin Slum, Ally Bin Slum kushoto na Salim Aljabry wakiwa wamevalia jezi maalum kwa mashabiki wa Mbeya City zenye nembo ya RB
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMBO YA MBEYA CITY NA RB BATTERY KIULAYA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top