• HABARI MPYA

  Sunday, December 28, 2014

  MAN CITY NAYO YABANWA, SARE 2-2 NYUMBANI NA BURNLEY

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya England, Manchester City wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Burnley usiku huu Uwanja wa Etihad.
  David Silva alianza kuwafungia City dakika ya 23 kwa shuti la umbali wa mita 18 akimtungua kipa wa Burnley, Tom Heaton kabla ya Fernandinho kufunga la pili dakika ya 33.
  Burnley ikazinduka na kusawazisha mabao yote hayo kupitia kwa George Boyd dakika ya 47 na Ashley Barnes dakika ya 81.
  Kikosi cha Man City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Demichelis, Mangala, Kolarov, Fernando, Fernandinho/Sinclair dk88, Jesus Navas, Silva, Nasri/Lampard dk76 na Milner/Jovetic dk62.
  Burnley: Heaton, Trippier, Keane, Shackell, Mee, Boyd, Marney, Jones, Arfield, Ings na Barnes.
  Ashley Barnes wheels away in celebration with his team-mates, as Joe Hart watches the shot hit the back of his Manchester City net
  Ashley Barnes akikimbia kushangilia na wachezaji wenzake, huku kipa Joe Hart akiushuhudia mpira umetulia nyavuni

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2889187/Manchester-City-2-2-Burnley-Manuel-Pellegrini-s-miss-chance-close-gap-Chelsea.html#ixzz3NDY8ajWt 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY NAYO YABANWA, SARE 2-2 NYUMBANI NA BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top