• HABARI MPYA

  Sunday, December 21, 2014

  SIMBA SC NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Yussuf Baraka akimtoka beki wa Mwadui FC katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Simba SC ilishinda 3-1
  Ibrahim Hajibu wa Simba SC kulia akimtoka beki wa Mwadui FC
  Mshambuliaji wa SImba SC, Yussuf Baraka akipambana na beki wa Mwadui, Joram Mgeveke
  Beki wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy akipasua katikati ya wachezaji wa Mwadui
  Kiungo wa Simba SC, Abdallah Seseme akimlamba chenga kiungo wa Mwadui FC
  Kiungo wa Simba SC, Abubakar Twaha akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mwadui
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top