• HABARI MPYA

  Thursday, December 25, 2014

  CASILLAS WA SIMBA SC ANAVYOJIFUA VIKALI UFUKWENI KIGAMBONI

  Kipa majeruhi wa Simba SC, Hussein Sharrif 'Casillas' anayepambana kuwa fiti tena, akijifua katika ufukwe wa Kigamboni, eneo la Ng'onda Beach, Dar es Salaam leo.
  Casillas aliumia Afrika Kusini Oktoba mwaka huu ambako Simba SC ilikuwa imeweka kambi kujiandaa na mechi na Yanga SC
  Kipa huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar alichanika ugoko baada ya kukanyagwa na kiatu cha mchezaji wa Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki 

  Casillas kwa sasa anajifua vikali ili mapema mwakani arudi uwanjani
  Casillas akifanya mazoezi ya nguvu ufukwe wa Ng'onda

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CASILLAS WA SIMBA SC ANAVYOJIFUA VIKALI UFUKWENI KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top