• HABARI MPYA

  Thursday, December 25, 2014

  SIMBA SC YAIBUA KIPA MWINGINE KINDA HATARI

  Kipa wa Simba B, Dennis Richard jana aliidakia Simba A jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa ya Jang'ombe Uwanja wa Amaan, Zanzibar na kuvutia mashabiki, Wekundu wa Msimbazi wakishinda 3-1. Dan Sserunkuma alifunga mabao mawili na moja Mohammed Hussein 'Tshabalala'. Kwa sasa Simba A ina makipa wawili, Ivo Mapunda na Peter Manyika, wakati Hussein Sharrif 'Casillas' ni majeruhi, hivyo Dennis amepandishwa timu A. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAIBUA KIPA MWINGINE KINDA HATARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top