• HABARI MPYA

    Monday, December 22, 2014

    AZAM FC NA EL MERREIKH LIGI YA MABINGWA 2015

    MABINGWA wa Tanzania, Azam  FC watamenyana na El Merreikh ya Sudan yenye mshambuliaji hatari Mkenya, Allan Wanga katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani. 
    Kwa mujibu wa ratiba ya Raundi ya Awali iliyopangwa leo mjini Cairo, mechi za kwanza zitachezwa kati ya Februari 13 na 15 wakati marudiano yatakuwa Februari 27 na Machi 1 na Azam FC wataanzia nyumbani.

    RATIBA KAMILI;
    Mbabane Swallows v Zesco United, Sewe Sport v AS Kaloum, USM Alger vs Foullah Edifice, AS Pikine vs Etoile Filante, Hilal vs KMKM, 
    Fomboni Club de Moheil vs Big Bullets, C.D Libolo vs SM Sanga Balende, Kampala CC vs Cosmos de Bafia; Azam vs Merrikh, 
    Lydia Ludic B.A v Kabuscorp do Palancas, Sony de Ela Nguema v Semassi de Sokode, MC Eulma v St George; East End Lions v Asante Kotoko, 
    Enyimba FC vs Buffles; Ahli Tripoli vs Smouha; Gor Mahia vs CNAPS; Liga D. Maputo vs APR; C.O.B (Mali) vs M.A.T (Morocco), Ahli Tripoli vs Smouha( Egypt), Liga D. Maputo (MOZ) vs APR; C.O.B (Mali) vs M.A.T (Morocco), Malakia vs Kano Pillars FC; Real de Banjul vs BYC (Liberia),
    Kaizer Chiefs vs Township Rollers; Raja vs Diables Noirs, St. Michel (Seychelles) vs Masandawana (South Africa); Mangasport (Gabon) vs Bantu (Lesotho); Stade Malien vs AS GNN (Nig).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA EL MERREIKH LIGI YA MABINGWA 2015 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top