• HABARI MPYA

  Wednesday, December 31, 2014

  CHEKA KUZIPIGA NA KING CLASS MAWE FEBRUARI 28 MANZESE

  Mabondia Cossmas Cheka (kushoto) na Ibrahim Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa UBO Afrika uzito wa Feather utakaofanyika Februari 28, mwakani katika ukumbi wa Frends Corner, Manzese, Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa pambano hilo, Anthony Rutta.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHEKA KUZIPIGA NA KING CLASS MAWE FEBRUARI 28 MANZESE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top