• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI LEO KUSAKA DAWA YA KUIANGAMIZA YANGA SC JUMAMOSI TAIFA

  Kipa Ivo Mapunda akifuatiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Gor Mahia, Dan Sserunkuma baada ya kikosi cha Simba SC kuwasili visiwani Zanzibar jioni ya leo kwa kambi ya wiki moja kujiandaa na mpambano wa Nani Mtani Jembe dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Kocha Patrick Phiri kulia akiwa na mwenyeji wa Simba SC visiwani humo, Abdulhamid Mshangama

  Wachezaji wakipanda basi kuelekea kambini 

  Dan Sserunkuma katika viunga vya Unguja leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI LEO KUSAKA DAWA YA KUIANGAMIZA YANGA SC JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top