• HABARI MPYA

  Sunday, December 28, 2014

  PLUIJM AWAANZISHA PAMOJA TAMBWE NA SHERMAN DHIDI YA AZAM FC

  Kpah Sherman ameanza na Tambwe Amisi mbele
  KOCHA Mholanzi, Hans van der Pluijm amewaanzisha pamoja washambuliaji wapya, Mrundi Amisi Tambwe na Mliberia Kpah Sherman katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC unaoanza Saa 10:00 jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Vikosi vinavyoanza kwa timu zote ni; 
  Yanga SC; Deogratius Munishi ‘Dida’, Juma Abdul, Edward Charles, Mbuyu Twite, Kevin Yondan, Salum Telela, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Tambwe, Kpah Sherman na Danny Mrwanda.
  Azam FC; Mwadini Ali, Himid Mao, Shomary Kapombe, Aggrey Morris, Serge Wawa, Erasto Nyoni, Mudathir Yahya, Salum Abubakar, Didier Kavumbangu, Kipre Tchetche na Brian Majwega.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PLUIJM AWAANZISHA PAMOJA TAMBWE NA SHERMAN DHIDI YA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top