• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  MTANZANIA ASHINDA BIG BROTHER AFRICA

  BREAKING NEEEWZ!!! IDRIS WA TANZANIA ASHINDA BIG BROTHER

  Mshiriki  wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kinara leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTANZANIA ASHINDA BIG BROTHER AFRICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top