• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  MESSI AMJIBU RONALDO, NAYE APIGA MATATU BARCA IKIUA 5-1 LA LIGA

  MSHAMBULIAJI Lionel Messi amemjibu mpinzani wake katika kinyang’anyiro cha Ballon d’Or Cristiano Ronaldo kwa kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Espanyol katika la Liga usiku huu.
  Espanyol walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Sergio Garcia dakika ya 13 akitumia makosa ya, Sergio Busquets kabla ya Messi kuisawazishia Barca dakika ya mwisho kipindi cha kwanza.
  Messi akafunga bao la pili dakika ya 50 akimalizia pasi nzuri ya Luis Suarez, kabla ya Gerard Pique kufunga la tatu kwa kichwa dakika ya 53 na Pedro la nne dakika ya 77.
  Messi akahitimisha hat trick yake dakika ya 81 na kurudia kile alichokifanya Ronaldo jana katika mchezo wa La Liga pia dhidi ya dhidi ya Celta Vigo, Real Madrid ikishinda 3-0. 
  Messi showed his class to make it 2-1 soon after half-time, taking Luis Suarez's pass in his stride, beating a defender and lashing it home
  Messi showed his class to make it 2-1 soon after half-time, taking Luis Suarez's pass in his stride, beating a defender and lashing it home

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2864473/Barcelona-5-1-Espanyol-Lionel-Messi-magic-makes-poor-half-Barca-star-lifts-team-city-rivals.html#ixzz3LFTB69f0 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AMJIBU RONALDO, NAYE APIGA MATATU BARCA IKIUA 5-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top