• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  IVO MAPUNDA BAADA YA KUOKOTESHWA MIPIRA MINNE NYAVUNI NA MTIBWA

  Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda baada ya mchezo wa kirafiki baina ya timu yake, Simba SC na Mtibwa Sugar Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Simba SC ilifungwa 4-2 Ivo akiwa langoni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IVO MAPUNDA BAADA YA KUOKOTESHWA MIPIRA MINNE NYAVUNI NA MTIBWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top