SSERUNKUMA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA IKIRARURIWA 4-2 NA MTIBWA CHAMAZI
Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Dan Sserunkuma (kushoto) akiwa na kocha Msaidizi wa Azam FC, George 'Best' Nsimbe kulia wakati Simba SC ikimenyana na Mtibwa Sugar ya Morogoro Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumapili. Mtibwa ilishinda 4-2. Sserunkuma alitua siku hiyo tayari kuanza kazi Msimbazi akitokea Gor Mahia ya Kenya, kufuatia kusaini Mkataba wa miaka miwili.
0 comments:
Post a Comment