• HABARI MPYA

  Saturday, May 28, 2022

  KUKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA MTANI

  KOCHA Mspaniola wa Simba, Pablo Franco Martin amemuanzisha kipa Beno Kakolanya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wa jadi, Yanga jioni hii Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KUKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA MTANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top