• HABARI MPYA

  Saturday, May 28, 2022

  KIKOSI CHA YANGA SC KINACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

  KOCHA Mtunisia wa Yanga, Nasreedin Mohamed Nabi amewaaanzisha pamoja washambuliaji Wakongo, Fiston Kalala Mayele na Heritier Ma Olongi Makambo katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wa jadi, Simba jioni hii Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC KINACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top