• HABARI MPYA

  Sunday, December 07, 2014

  YANGA NA EXPRESS KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Express ya Uganda, Ivan Sserunkuma katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 1-0.
  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Express, Hassan Wasswa
  Beki wa Yanga SC, Juma Abdul akimuacha chini beki wa Express, Ivan Sserunkuma
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Express, Emma Kalyowa

  Kiungo wa Yanga SC, Mbuyu Twite akiambaa na mpira kulia huku akibughudhiwa na Emma Kalyowa wa Express
  Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiambaa na mpira dhidi ya beki wa Express
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA EXPRESS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top