• HABARI MPYA

  Sunday, December 07, 2014

  AZAM FC WALIVYOPASHA UFUKWE WA COCO BEACH JANA

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiruka vihunzi katika mazoezi ya ufukweni ya timu jana asubuhi eneo la Coco Beach, Dar es Salaam. Kulia ni kocha Mkuu, Mcameroon, Joseph Marius Omog akiongoza mazoezi hayo.
  Kiungo mpya wa Azam FC, Amri Kiemba akiruka vihunzi
  Kiungo Kipre Michael Balou akiruka vihunzi
  Wachezaji wa Azam FC wakikimbia mchangani Coco Beach jana
  Kocha Omog katikati akiwapa mwongozo wachezaji wake jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOPASHA UFUKWE WA COCO BEACH JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top