• HABARI MPYA

  Saturday, December 06, 2014

  'SHARO LA KIBRAZIL' LILIVYOTULIA JUKWAANI LEO YANGA IKIFANYA YAKE TAIFA

  Kiungo mpya wa Yanga SC kutoka Brazil, Emerson de Oliviera Roque akiwa jukwaani leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati timu yake inacheza na Express ya Uganda katika mchezo wa kirafiki. Yanga SC ilisjinda 1-0.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'SHARO LA KIBRAZIL' LILIVYOTULIA JUKWAANI LEO YANGA IKIFANYA YAKE TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top