• HABARI MPYA

  Wednesday, December 17, 2014

  CHELSEA YAICHAPA DERBY COUNTY 3-1 KOMBE LA LIGI

  CHELSEA imeichapa mabao 3-1 Derby County katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi usiku wa jana. 
  Kurt Zouma aliondolewa uwanjani kwa machela, baada ya kugongana na kipa Petr Cech wakati wa mpira wa kona na Cesc Fabregas na Cesar Azpilicueta walisaidia kubeba machela.
  Mabao ya Chelsea yalifungwa na Eden Hazard, Filip Luis na Andre Schurrle, wakati bao pekee la Derby lilifungwa na Craig Bryson.
  Zouma, pictured controlling the ball early in the first-half, joined Jose Mourinho's side from St Etienne in January for £12.5million
  Kurt Zouma, akimiliki mpira kipindi cha kwanza jana. Mchezaji huyo alijiunga na kikosi cha Jose Mourinho Januri kwa dau la Pauni Milioni 12.5 kutoka St Etienne

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2876615/Kurt-Zouma-forced-stretcher-nasty-collision-Chelsea-s-Capital-One-Cup-clash-against-Derby.html#ixzz3M8NFCUK8 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA DERBY COUNTY 3-1 KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top