Mshambuliaji wa Arsenal na Nahodha, Pierre-Emerick Aubameyang akijaribu kuwatoka kipa Robert Sánchez wa Brighton & Hove Albion na beki wake, Shane Duffy katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussex timu hizo zikitoa sare ya bila mabao.
0 comments:
Post a Comment