• HABARI MPYA

  Sunday, October 03, 2021

  BASI JIPYA LA AZAM KAMA ULAYA


  BASI jipya la Azam FC aina ya Mercedes Benz Irizar i6S Plus, aina ya mabasi yanayotumiwa na klabu kubwa Ulaya linalokuja kuleta upekee kwenye soka ya Tanzania. 


  Azam FC imekuwa klabu inayoongoza kwa huduma bora kwa timu yake, japokuwa bado haipati matokeo yanayolingana na uwekezaji wake



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BASI JIPYA LA AZAM KAMA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top