• HABARI MPYA

  Monday, January 02, 2023

  SINGIDA BIG STARS WAFUNGUA UKURASA WA BARA MAPINDUZI

  TIMU za Tanzania Bara zinaanza leo kucheza mechi zake za Kombe la Mapinduzi, Singida Big Stars wakiwa wa kwanza kutupa karata yao watakapomenyana na KMKM Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS WAFUNGUA UKURASA WA BARA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top