KLABU ya Tanzania Prisons imesajili wachezaji watano wapya katika dirisha hili dogo ili kukiongezea nguvu kikosi chake kuelekea simu iliyobaki ya msimu. Hao ni kipa Benedict Tinocco aliyesaini miaka miwili, viungo Mohamed Ibrahimu ‘Mo’ mwaka mmoja na nusu, Shaaban Kisiga mwaka mmoja, Lambert Charlse Sabiyanka na winga Meshack Suleiman kutoka Nyasa Big Bullets ya Malawi aliyesaini miaka mitatu. Aidha, Tanzania Prisons imewatakia kila la heri wachezaji walioondoka, kipa Hussein Abel na kiungo Mudathir Abdallah.
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment