• HABARI MPYA

  Wednesday, January 04, 2023

  NAMUNGO YATOKA SULUHU NA CHIPUKIZI KOMBE LA MAPINDUZI


  TIMU ya Namungo FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Chipukizi katika mchezo wa Kundi D Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Sasa Namungo FC watalazimika kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Aigle Noir ya Burundi keshokutwa ili kuangalia nafasi ya kwenda Nusu Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO YATOKA SULUHU NA CHIPUKIZI KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top