• HABARI MPYA

  Tuesday, January 10, 2023

  SIMBA KUMENYANA NA CSKA MOSCOW DUBAI JUMAPILI


  VIGOGO,  Simba SC watacheza mechi mbili za kirafiki katika kambi yao ya Dubai, Falme za Kaiarabu kujindaa na sehemu iliyobaki ya msimu chini ya kocha mpya, Mbrazil Roberto Oliveira Goncalves do Carmo, maarufu 'Robertinho'.
  Mechi ya kwanza itakuwa ni Ijumaa dhidi ya Al Dhafra ya Madinat Zayed Ijumaa na ya pili dhidi ya CSKA Moscow Jumapili huko Abu Dhabi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA KUMENYANA NA CSKA MOSCOW DUBAI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top