• HABARI MPYA

  Monday, January 16, 2023

  HAWA NDIO WALIOPITISHWA KUWANIA UBOSI SIMBA SC MWISHO WA MWEZI


  KAMATI ya Uchaguzi ya klabu ya Simba imetoa orodha ya mwisho ya wagombea waliopitishwa kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Januari 29, mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAWA NDIO WALIOPITISHWA KUWANIA UBOSI SIMBA SC MWISHO WA MWEZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top