• HABARI MPYA

  Wednesday, January 04, 2023

  AMBUNDO AIPA USHINDI YANGA DAKIKA YA MWISHO MAPINDUZI


  BAO la winga Dickson Isaac Ambundo limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, KMKM katika mchezo wa Kundi B michuano ya Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Ambundo alifunga goli hilo dakika ya 90 na ushei sekunde chache kabla ya kipyenga cha mwisho na sasa Yanga watalazimika kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Singida Big Stars keshokutwa ambayo I taji taji sare tu ili kwenda Nusu Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBUNDO AIPA USHINDI YANGA DAKIKA YA MWISHO MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top