• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2023

  MUDATHIR YAHYA NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA


  KLABU ya Yanga imemtambulisha kiungo Mudathir Yahya Abbas kuwa mchezaji wake mpya wa kwanza katika dirisha huku dogo na mara moja ataungana na timu visiwani Zanzibar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUDATHIR YAHYA NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top