• HABARI MPYA

  Monday, January 09, 2023

  CHAMA MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA DESEMBA LIGI KUU


  KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba.
  Aidha, aliyekuwa Kaimu Kocha wa klabu hiyo, Juma Mgunda, sasa Kocha Msaidizi, naye ameshinda Tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Desemba.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA DESEMBA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top