WENYEJI, Manchester United jana wamefanikiwa kwenda Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Reading Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao ya Man United yalifungwa na Wabrazil, Casemiro mawili dakika ya 54 na 58 na Fred dakika ya 66, wakati bao pekee la Reading lilifungwa na beki Msenegal, Amadou Salif Mbengue dakika ya 72.
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment