• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2023

  UCHAGUZI MKUU SIMBA SC KUFANYIKA JULIUS NYERERE CENTRE


  UCHAGUZI Mkuu wa klabu ya Simba utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Januari 29, mwaka huu kuanzia Saa 2:00 asubuhi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UCHAGUZI MKUU SIMBA SC KUFANYIKA JULIUS NYERERE CENTRE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top