• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2023

  FEISAL AITWA KAMATI YA TFF KUJIBU SHUTUMA ZA YANGA


  KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemuita kiungo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kujibu malalamiko ya klabu yake, Yanga.
  Yanga imetuma malalamiko TFF kufuatia Feisal kushinikiza kuvunja mkataba na kujitoa kwenye timu hiyo na kwa sasa tayari yuko Dubai akifanya mazoezi binafsi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FEISAL AITWA KAMATI YA TFF KUJIBU SHUTUMA ZA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top