• HABARI MPYA

  Thursday, January 12, 2023

  SOUTHAMPTON YAITUPA NJE MAN CITY CARABAO CUP


  WENYEJI, Southampton wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Manchester City usiku wa Jumatano Uwanja wa St Mary’s.
  Mabao ya Southampton yalifungwa na Sekou Mara dakika ya 23 na Moussa Djenepo dakika ya 28, Watakatifu wakiendelea king’s ra chini ya Nathan Jones.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOUTHAMPTON YAITUPA NJE MAN CITY CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top