• HABARI MPYA

  Friday, January 27, 2023

  BODI YA LIGI YAISHUSHA DARAJA GWAMBINA NA KUIFUNGIA MISIMU MIWILI


  KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeishusha Daraja na kuifungia kwa misimu miwili klabu ya Gwambina FC kushiriki ligi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAISHUSHA DARAJA GWAMBINA NA KUIFUNGIA MISIMU MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top