• HABARI MPYA

  Saturday, January 07, 2023

  MSAFARA WA YANGA WAMTEMBELEA MAMA KARUME ZANZIBAR


  MSAFARA wa Yanga uliokuwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi chini ya Rais wake, Mhandisi Hersi Said leo umefika nyumbani kwa mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma Karume huko Maisara na kumuonyesha mataji manne waliyotwaa mwaka 2022.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSAFARA WA YANGA WAMTEMBELEA MAMA KARUME ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top