• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2023

  MECHI YA WATANI SIMBA NA YANGA YASOGEZWA MBELE LIGI KUU


  MCHEZO wa marudiano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani, Simba na Yanga uliopangwa kufanyika Aprili 9, mwaka huu umesogezwa mbele hadi Aprili 16 Saa 11:00 jioni, ingawa siku inabaki kuwa Jumapili.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA WATANI SIMBA NA YANGA YASOGEZWA MBELE LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top