• HABARI MPYA

  Monday, January 16, 2023

  YANGA YAMREJESHA KIKOSINI KIPA METACHA MNATA


  KLABU ya Yanga imemrejesha kipa Metacha Boniphace Mnata baada ya msimu mmoja na nusu tangu iachane naye.
  Baada ya kutemwa Yanga kwa utovu wa nidhamu mwaka juzi, Mnata alicheza Polisi Tanzania msimu mmoja, kabla ya mwanzoni mwa msimu kujiunga na Singida Big Stars.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAMREJESHA KIKOSINI KIPA METACHA MNATA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top