• HABARI MPYA

  Wednesday, January 04, 2023

  CHAMA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA SIMBA DESEMBA


  KIUNGO Mzambia, Clatous Chama ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kwa mwezi Desemba, 2022 na sasa atakabodhiwa zawadi ya Sh. Milioni 2 na wadhamini,  Emirate Aluminium Profile.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA SIMBA DESEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top