• HABARI MPYA

  Friday, January 06, 2023

  NAMUNGO FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI


  BAO pekee la Hassan Kabunda dakika ya 62 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi katika mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Kwa ushindi huo, Namungo FC inamaliza na pointi nne kileleni mwa Kundi D mbele ya Chipukizi yenye pointi mbili na Aigle Noir pinto moja hivyo kwenda Hatua ya Nusu Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top